BAADA YA KUTIMULIWA CHADEMA UNAFAHAMU ZITO ANAELEKEA WAPI?

Tangu kuanzishwa kwa chama hicho mwaka mmoja uliopita, Zitto amekuwa akihusishwa kukianzisha, hivyo kitendo chake cha kujiunga nacho kitahitimisha mjadala wa muda mrefu wa mashabiki wake waliokuwa wakihoji wapi ataelekea baada ya kung’olewa Chadema.
Katibu Mkuu wa ACT, Samsom Mgamba watampokea zito mda wowote na maandalizi yamekamilika.” na alisema: “mapokezi hayo yatafanyikia makoa makuu ya chama (yapo Makumbusho, Dar es Salaam).
Je! hiyo ita mjenga Zitto kisiasa au ndo itampoteza kwenye ramani ya siasa? majibu yote yataonekana kwenye uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwezi huu.
Zitto kabla hajatimuliwa CHADEMA, je hali itaendelea kuwa hivi?
habari zaidi soma hapa
No comments