Header Ads

Breaking News

ZITTO KABWE ANG'ATUKA RASMI BUNGENI




Ni baada ya sekeseke la mda refu mbunge wa kigoma ZITTO KABWE andika barua ya kung'atuka bungeni ma kuisoma bungeni jana mbele ya wabunge katika bunge la Jamuhuri ya Mungano la Tanzania.
barua yenyewe hii hapa








SOMA BARUA HII HAPA ILIYOANDIKWA NA ZUBEIR ZITTO KABWE JANA TAR. 20/3/2015
barua ya Zitto iliyosomwa bungeni jana

katika hotuba yake ZITTO aliwatakia aliwatakia pia kila la kheri wabunge wote katika uchaguzi ujao pia alisema kuwa watakutana katika bunge lijaro mungu akijaria


No comments