Header Ads

Breaking News

MAPENZI

KADI NZURI ZA KIMAPENZI ZENYE UJUMBE MZURI  KWAJILI YA YULE  YULE UMPENDAYE

                                                                 
 
                                                                          

 

                                                                 






MAMBO MAZURI YA KUMFANYIA MPENZI WAKO ILI KUDUMISHA UHUSIANO
  1. 1:Usiache kumsifia mpenzi wako kila anapofanya mazuri.
  2. 2:kila mara uwe faraja kwa mpenziwako apatapo matatizo, usichoke kumfariji na kumwambia utakuwa  naye mpaka mwisho wa tatizo lake
  3. 3:Uwe msaada kwa mpenzi wako apatwapo na shida.
  4. 4:usiache kumwambia mpenzi wako nakupenda kia asubuhi unapoamka na jioni unapo lala
  5. 5:Kuwa na kawaida ya kumpigia simu mara kwa mara awapo mbali na wewe.
  6. 6:Usipende kula pekeyako chakula na kumwacha mpenzi wako ale peke yake. kama yupo mbali usiache kutalifu kwa simu mpenzi wako kila unapojiandaa kula ili ajue kama umekula.
  7. usitoe maneno ya kumkatisha tamaa mpenzi wako afanyapo kitu kwa ajili yako, hasa akuleteapo zawadi usiyo lidhika nayo. mwambie asante mpenziwangu.
  8. mwambie mpenzi wako umemisi kila uwapo mbali naye kwa masaa kadhaa. mtumie sms au mpigie sim mwambie nimekumisi mpenzi wangu.
  9. kila wakati jaribu kufahamu ni vitu gani mpenzi wako anapenda na vitugani hapendi itakusaidia kuendanaye sambaba.
  10. Tambua ni wakati gani mpenzi wako anakuwa na hasira, ili umwendee kwa upole usije ukamwongeza asira.
  11. Epuka kurudia kufanya vitu ambavyo mpenzi wako hataki uvifanye.
  12. Epuka kumtajia kitu ambacho kinamumiza mpenzi wako. mfano kama amefiwa na wazazi, kama hajabahatika kupata mtoto tangia umwoe.rudia pointi ya pili itakuwa msingi kwako.
  13. Jitahidi kumpatia zawadi mpenzi wako zitakazo mfanya akukumbuke kila siku.
  14. mpe pole kila anapo toka kazini au anapo fanya kazi ngumu.
  15. Neno nisamehe liwe msingi wa maongezi yako mnapokosana na mpenzi wako.


No comments