Header Ads

Breaking News

A.Y (Ambwene Yesaya) AFUNGUKA

AY amua kutupia picha zake fb za kabla hajatoka kimaisha na sasa

Msanii wa bongo freve marufu nchini Tanzania  A.Y amefunguka kwenye mtandao wa kijamii (facebook) baada ya kutupia picha yake ya zamani na kuonesha maisha yake halisi alivyokuwa zamani kabla hajawa star na alivyo sasa.





A.Y ameamua kutupia picha hizo huku akitoa ujumbe mzito unaosema "Rafiki yangu mpendwa,mfukuzie mbali shetani anayekwambia HUWEZI...Siku Njema" baada ya ujumbe huu mfupi na mzito akatupia picha hizi ambazo zinakamilisha ujumbe wake.



nahisi huu ni mfano mzuri alioutoa AY maana inatia hamasa kwa vijana kujituma. hata watu wengine walio toka waige hii wasione aibu kuonesha walikotoka.

No comments