Header Ads

Breaking News

NJIA YA KUPATA UJAUZITO PASIPO KUTUMIA DAWA, AU KUJIKINGA NA UJAUZITO PASIPO KUTUMIA DAWA.

Kuna watu mengi wamekuwa wakihitji kupata ujauzito kwa kipindi fulani lakini wamekuwa wakishindwa na kujihisi wana matatizo ya vizazi. wengine wanapata mimba za bila kutarajia kutokana na kutozifahamu siku zao za hatari ambazo mwanamke anaweza kupata mimba.

TUANZE KUANGALIA NAMNA YA KUDAKA MIMBA MWANAMKE KWA URAHISI.
kwanza mwanamke anatakiwa kuzifahamu siku za hatari za kudaka mimba. sio kila kipindi mwanamke akikutana na mwanaume anaweza kupata mimba kuna kipindi hawezi kudaka mimba. siku za hatari ni siku ambazo mwanamke hupata mimba kwa urahisi.

mgawanyo wa siku za mwanamke katika mwezi
siku za mwanamke zimegawanyika katika makundi makuu matatu(3)
  1. siku za hedhi
  2. siku salama na
  3. siku za hatari

Tazama picha hii



katika picha hii tunaona siku za hedhi 5 siku tano zinazofuata baada ya hedhi ni salama. kuanzia siku ya 11 tangu siku ulipoanza kuingia hedhi au siku ya sita tangu silipomalizika siku 5 za hedhi, hapo ndipo zinaanza siku nane za hatari ndani ya siku hizo nane ndizo siku sahihi za kubeba mimba kwa mwanamke.

baada ya kuzijua siku hizo unapo kuwa kwenye tendo la ndoa epuka kuinua mapema na kujifuta mala baada ya kufika kileleni. tulia kwa dakika 15 had 20 na kuendelea ndipo uinuke.

na namna ya kuzuia mimba unaweza kuangalia siku salama katika mchoro wa picha hapo juu ndizo siku unatakiwa kufanya tendo la ndoa na si vinginevyo.

No comments