Header Ads

Breaking News

JE, WAJUA MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI? (Tallest man in the world)

Mtu mrefu kuliko wote duniani ni Sultan Kösen
 TallestMan_SultanKosen_Measurement.jpg
Sultan Kösen

Sultan Kösen alizaliwa 10/12/1982 katika nchi ya Turkey . Sultan Kösen rekodi hii aliivunja 8/2/2011 baada ya kupimwa na kukutwa na urefu wa sm 251 ambazo sawa na ft 8 ich 2.8.

Aliichukua rekodi hiyo kutoka kwa mchina  Xi Shun (1951), aliye pimwa mwaka 2005 na kuwa na urefu wa 2.361 m sawa na  (7 ft 8.95 in). alianza kuchukua umarufu huo mwaka 2009 alivyopimwa na kukutwa na urefu wa ft 8.1 hadi kufikia 2011 alikuwa na urefu wa ft 8.2

Katika familiya yao wamezaliwa watoto 5, wanaume wanne na mwanamke mmoja. wote wana urefu wa kawaida isipokuwa Sultan

anasema anajivunia sana urefu wake kwani anaweza kufanya kazi ambazo wengine hawazifanyi kama kubadilisha balbu basipo kusimaa juu ya kitu chochote.

No comments