Header Ads

Breaking News

UNAJUA SABABU GANI ZILIFANYA WASANII WA BONGO MOVIE HAWAKUENDA KUMPOKEA LULU?

kumekuwa na minong'ono mingi kuhusiana na kitendo cha wasanii wa bongomovie kutokwenda kumpokea mwanadada elizabeth Michael marufu kama LULU alipo tw
aa tuzo ya AMVCA. LULU kafunguka leo kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema hivi.



poleni sana aisee mana najua tulivyochoka na Nashukuru sana kwa uwepo Wenu.
Kwa muda huu mfupi tangu nilipofika naona kumeanza kuwa na mtafaruku kdgo,naomba niweke hili Jambo sawa
Kwanza mtu Wangu WA Karibu sana @munalove100 amepata vitisho kutoka kwa watu sijajua sababu lkn naomba Kama mm nimuombee radhi ya Yoyote Yule aliyemkwanza pengine mm ndo sababu ya yeye kuingia katika hayo makwazo...Kwa yyte Yule naomba msamaha mm kwaajili yake🙏

 
Pili,story kwamba Bongo movie hawakuja kunipokea,ninacho amini Karibu wote hao ni watu wazima sana kwangu nawaheshimu na wala sidhani Kama Nina tatizo na mtu yyte...kwa upande Wangu nachukulia pengine walibanwa na majukumu Yao na pia mtu kufanya kitu chochote inahitaji willingness ya moyo wake kwahyo haikuwa na haja na kumlazimisha yyte kufanya kitu moyo wake isichotaka kufanya...Bdo nawatambua Kama wasanii wenzangu na kwenye Jambo lolote litakalohitaji uwepo Wangu I will be there💋

 
Kiukweli kwa wasanii wachache mliojitokeza na watu wengine wote mliojitokeza ilitosha sana ku share furaha yangu na nyinyi🙌Mungu awabariki 

 
Mwisho naomba hizi story na matusi kwenye mitandao muache tu ndugu zangu pengine mm siwezi nikawa naumia zaidi yenu kwasababu Nyie ndo mlikuwa huku na mlikuwa busy kuandaa naelewa lkn mwisho WA siku hatupo kwaajili ya kuonyesha madhaifu yetu Bali tupo kwaajili ya kuyajua na kuangalia jinsi ya kukabiliana nao🇹🇿❤️

HIKI NDICHO ALICHO KISEMA MWANADADA HUYU

No comments