Header Ads

Breaking News

je, wajua vyuo vya zamani na vinavyo endelea kufanya kazi mpaka wakati huu?

Vyuo vya zamani ambavyo bado vinadumu na kuendelea kufanya kazi ni University of Karueein na University of Bologna

Chuo cha Karueein na University kilianzishwa mwaka 859 baada ya yesu kuzaliwa. chuo hiki kinapatikana nchini Morocco (Africa)
Image result for University of Karueein

Chuo kingine ni chuo cha Bologna (university of Bologna) chuo hiki kilianzishwa mwaka 1088 huko Itay na kinasadikika kuwa na chuo cha zamani sana barani Ulaya.
Image result for university of bologna

No comments