Header Ads

Breaking News

MNYATE: SIWEZI KUSEMA CHOCHOTE KWA SASA

 Image result for jamali mnyate
Winga Wa timu ya simba  Jamal MnyateAmesema hawezi kuzungumza chochote kwa sasa kutokana na kuwa bado yupo chini ya mkataba na timu ya SIMBA, lakini angekuwa ameshamaliza nao mkataba angekuwa huru kusema msimu ujao atakuwa wapi.

kauli hiyo ameitoa baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Simba msimu uliopita. Mnyate alisajiliwa na Simba akitokea katika klabu ya Mwadui kwa mkataba wa miaka miwili lakini tangu alivyosajiliwa alifanikiwa kucheza mechi kadhaa kutokana na  mara nyingi akiwa anasumbuliwa na majeruhi.
“Kwa hivi sasa ni ngumu kusema msimu ujao nitakuwa wapi, kwasababu bado nina mkataba wa mwaka mmoja na Simba kikubwa mimi nawasikiliza wao waajiri wangu watakavyonambia kuhusu hatima yangu,”amesema.
PAKUA APP YA GEOSAN TZ BLOG HAPA PAKUA APP YA GEOSAN TZ upate habari mpya kila wakati UNGANA NASI WHATSAPP NA FACEBOOK HAPA BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

PAKUA APP YA GEOSAN TZ
upate habari mpya kila wakati 


UNGANA NASI WHATSAPP NA FACEBOOK HAPA
 BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA
Image result for whatsapp FACEBOOK

No comments