Header Ads

Breaking News

MAREKANI YATISHIA KUISHAMBULIA SYLIA

Image result for WANAJESHI WA MAREKANIJESHI LA MAREKANI
 
Marekani imeionya Syria dhidi ya matumizi ya silaha zenye kemikali ambazo inatarajia kuzitumia dhidi ya kikundi cha wanamgambo wa Islamic State.

Aidha, taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani imemuonya rais  wa Syria, Bashar al Assad kuwa endapo atatumia silaha zenye sumu basi Marekani itamchukulia hatua kali zikiwemo kuishambulia nchi hiyo.
Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

Imesema kuwa shambulio lolote litakalofanywa na Syria lenye silaha zenye sumu dhidi ya wanamgambo wa Islamic State litasababisha vifo vya raia wasiokuwa na hatia.

Hata hivyo, Marekani imeongeza kuwa iko Syria kwaajili ya kukabiliana na wanamgambo wa Islamic State lakini imeionya Syria kuwa kama itafanya shambulizi lolote lenye silaha zenye sumu itakiona cha moto.

PAKUA APP YA GEOSAN TZ
upate habari mpya kila wakati 

UNGANA NASI WHATSAPP NA FACEBOOK HAPA
 BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA
Image result for whatsapp FACEBOOK
Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
PATA HABARI HIZI FACEBOOK NA WHATSAPP BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
PATA HABARI HIZI FACEBOOK NA WHATSAPP BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

BONYEZA VITUFE HIVI KUJIUNGA Image result for whatsapp FACEBOOK

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

No comments