Header Ads

Breaking News

WEMA SEPETU AMBWAGA MPENZI WAKE IDRISS SULTAN NA KURUDIANA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI.

MWANA DADA Wema Sepetu JANA YA TAREHE 23/06/2016 katika hali iliyo washangaza wengi alionekana kurudiana na mpenzi wake wa zamani  aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa aliyeiwakilisha Namibia Luis Munana.
Image result for wema sepetu na luis munana
wawili hawa walishawahi kuwa wapenzi suala ambalo halikuwa siri, kwani account zao za mitandao ya kijamii hususani Instagram, zilijieleza lakini baadae waliachana na kila mmoja alifuta picha zote walizowahi kupiga pamoja na kuzipost instagram.

lakini jana tarehe 23/06/2016 mwanadada wema sepetu ameibuka na kuposi picha ya mwandani wake wa zamani  LUIS MNANA na mwana kaka pia aliposi picha ya WEMA zikiwa na ujumbe ambao sio wa kawaida

je vipi kuhusiana na mwanakaka IDRISS ambaye ndiye baba kijacho? kaa karibu na blog hii tutakupa ukweli wote.

No comments