Header Ads

Breaking News

MAMBO MUHIMU YA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO WAKATI WA SEX (KUFANYA TENDO LA NDOA)

hapa nitaelezea mambo makuu matano ambayo yatamfanya umridhishe mke, mume au mpenzi wako wakati wa kufanya sex (tendo la ndoa)

 jambo la kwanza
KUMWANDAA MPENZI WAKO;
watu wengi wanalipuudha jambo hili na kuliona kama halina maana katika sex. maadalizi ni jambo la muhimu sana katika kumfanya mpenzi wako alidhike na sex kitandana. maandalizi ya sex ni long term process.
 unachotakiwa kufanya mwambie kwanza mpenzi wako kuwa unataka kusex nae ili auweke mwiliwake tayali kwa kazi hiyo siyo mkilala tu unaanza kumpalamia mpenzi wako.

kwa mwanamke jitahidi kuvaa nguo zitakazo mchochea mpenzi wako kusex na wewe pindi unapohitaji kusex nae au yeye anapohitaji sex mfano sketi fupi au nguo yoyote inayoonesha maumbile yako.

 pia muwapo kitandani jitahidi kumwaandaa vizuri mpenzi wako kabla hujaanza kazi. swala hili si la mwanaume tu hata mwanamke unahitaji kumchezea mme wako na kuongea maneno matamu.mulize mpenzi wako ni sehemu gani ukimshika anapata hisia sio kila sehemu unashika tu zingine hana hisia nazo.

jambo la pili
KOJOA KABLA YA KUANZA TENDO LA NDOA
Wengi wataona kama jambo la utani buti lina umuhimu mkubwa katika sex.
Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi.
Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo.
Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la kutiana zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake.
Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji kusex na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kukojoa haraka sana. 
 pia mwanaume unatakiwa kukojoa kable ya sex itakufanya uwe imara katika sex mwanzo mwisho.
jambo la tatu
USIWE MTU WA AIBU AIBU
Mwanamke au mwanaume usiwe mtu wa aibu aibu uwapo kitandani na mpenzi, mume au mke wako. wengi huliona jambo hili kama la kawaida sana ila lina nguvu sana ma madhara katika sex. wasichana wengi wanapenda kuwa na aibu wakati wa sex wengine huogopa eti akionekana hana aibu ataonekana malaya. hilo sio kweli. mwanaume anahitaji kuridhishwa onesha utundu wako kitandani sio kumwonea aibu.

Jambo la nne
JIFUNZE KULALAMIKA KITANDANI.
Wengi wameonekana kulala tu kitandani kama mzigo hata kama anaridhika na sex kutoka kwa mpenzi wake. ongea mwambie hapo hapo beby, ingiza sweet, na unaporidhika zaidi mwambie hivohivo ili aendelee kufanya hivohivo uridhike saidi. hii sio kwa mwanamke tu hata mwanaume ongea kumwongeza hisia mpenzi wako.
jambo la tano na mwisho.
KUMBUKA KUSHUKURU KWA MANENO MATAMU BAADA YA SEX
Mshukuru mpenzi wako mwambie asante mpenzi wangu, sweety leo umeniridhisha na kesho fanya hivihivi. mpenzi wako atajisikia raha na kesho atafanya hivyo hivyo utaendelea kuridhishwa na sex. ukikaa kimya atajua labda hujaridhika na sex.

NB
jambo hili nimeamua kulizungumzia mwishoni ila ni la muhimu sana kulitambua. usiweke muziki unao mkatisha tamaa mpenzi wako. wanaume wengi wamekuwa wakiweka mziki hasa pale anapo tembelewa na mpenzi wake. usije ukaweka wimbo kama starehe zinaniweka matatani wa ferooz au wimbo wowote unao mpota mwanamke labda we malaya sijui nn utamwondoa kwenye mood ya mapenzi ataanza kuufikilia hui wimbo.











No comments