Waziri Mwakyembe akanusha habari ya gazeti la Dira lililosema ametapeli bilioni 2
Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe amekanusha taarifa za
uongo zilizotolewa na gazeti la DIRA, Habari iliyokuwa ikimuhusisha
utapeli bilioni 2. Pia ameahidi kuwapeleka Mahakamani wahusika wote waliosambaza
taarifa hiyo bila kuwa na ushahidi.
Akitoa taarifa hizo kwa vyombo vya habari mheshimiwa Mwakyembe aliseme
Akitoa taarifa hizo kwa vyombo vya habari mheshimiwa Mwakyembe aliseme
" Jumatatu
ya tarehe 13/6/2016 gazeti la DIRA YA MTANZANIA lilichapisha taarifa
iliyosema Mwakyembe atuhumiwa kutapeli bilioni 2, kupandishwa mahakamani
wakati wowote. Napenda nikiri kuwa sijawahi kushuhudia upotoshaji
mkubwa na wa makusudi kama huu
Ukiisoma taarifa za gazeti
hili utaona waziwazi umakini na weredi wa uandishi wa habari
unakosekana, hata jina la wizara yangu limekosewa. Makosa yaliyonukuliwa
na gazeti hili ni makosa ya jinai kwahiyo nahakika Dira wanauhakika ni
lini Polisi walinihoji
Wameona
hiyo haitoshi, wiki hii wamekuja na taarifa ya kulizalilisha jeshi letu
kwa kusema kifaru chake cha kiviti kimeibwa, huku ni kukosa uzalendo na
kulitia doa jeshi letu. Tukikaa kimya tutaambiwa tena kuwa hicho kifaru
kinatumika kama daladala.
Tutafungua kesi hii
mahakama kuu ya Tanzania na bado mimi na mawakili wangu tunaangalia
impact na kuhusika kwa vyombo vikubwa vya habari kama ITV na Star Tv
kwa kutangaza taarifa "
KAMA ULIPITWA NA HABARI HIZI SOMA HAPA
Wabunge wa ukawa watoa kituko bungeni
Werikari yasitisha ajira zote
Harmonize na wolper penzi lazidi kupamba moto
KAMA ULIPITWA NA HABARI HIZI SOMA HAPA
Wabunge wa ukawa watoa kituko bungeni
Werikari yasitisha ajira zote
Harmonize na wolper penzi lazidi kupamba moto
Harmonize na Jackline Wolper penzi lazidi kupamba moto
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
No comments