Header Ads

Breaking News

WABUNGE WA UKAWA VITUKO BUNGENI

Wabunge wa vyama vya upinzani almarufu kama wabunge wa UKAWA jana walisusia kikao cha bunge kwa staili ya pekee.

Wabunge hao wanaoendelea na ususiaji huo wa vikao vya bunge kwa muda wa siku 17 sasa baada ya hoja yao kutupiliwa mbali ya kutaka kujadili wanafunzi wa stashahada maalumu ya sayansi wa UDOM.
 
mMgomo huu umekuja kwa staili ya pekee jana bungeni baada ya wabunge hao kutoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao kwa karatasi zenye ujumbe mbalimbali.



No comments