Jamie Vardy afuta mpango wake wa kujiunga na Arsenal
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya England na klabu ya Leicester City Jamie Vardy leo June 23 2016 zimetoka kuwa amefuta mpango wake wa kujiunga na klabu ya Arsenal.
Mshambuliaji huyo ameamua kuendelea na maisha yake ndani ya klabu yake ya sasa ya Leicester City ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2015/2016.
Jamie Vardy ambaye ilikuwa imepewa nafasi kubwa ya kusajiliw na klabu ya Arsenal kabadili uamuzi huo na badala yake anatarajiwa kuongeza mkataba wa miaka minne kuendelea kuitumikia klabu ya Leicester City.

No comments