SIMULIZI YA KUSISIMUA SEHEMU YA PILI: SINA WA KUMLILIA
ILIPO ISHIA SEHEMU YA KWANZA.
Ndipo
hasani akatoa kisu alicho kidumbukiza ndani ya siluali yake...
SASA
INAENDELEA
Akanibamiza
nacho shavuni kwa hasira, sikuwa na jinsi tena ilinibidi niseme huku
nikitetemeka kwa woga, nilihisi ndio mwisho wa maisha yangu. "Ni mpenzi
wangu" na huyu? Nikaulizwa swali jingine nikasita kidogo "naye mpenzi
wangu" na hhuyu na huyu? "wo.... wo... wote" niliongea kwa wasiwasi mkubwa kwani Nikiwa
naongea haya yote kisu kilikuwa kinanusa na kulamba shingo yangu.
Ndipo
wakaniamuru nitoe nguo zangu zote. "Naomba nisamehe" nililalama kwa
uchungu. Lakini yote ilikuwa kazi bure. "Wewe ulituchanganya ulijua
hatutafahamiana malaya mkubwa" nilisikia sauti ikisihi.
Bila
kutarajia nguo zangu zote zikachanwa nkajikuta nipo kitandani ndipo wakaanza
kunisurubisha kwa zamu. Nilifungwa
kitambaa mdomoni sikuweza kupiga kelele za kuomba msaada. Ghafla nikapoteza
fahamu sikujua tena kilichoendelea baada ya hapo.
Kuja
kugutuka nkajikuta nipo kitandani, kuangalia pembeni kulikuwa na mdada aliye
valia nguo nyeupe.
"Taratibu
utanjichoma umewekewa drip ya maji" aliongea kwa upole. "Lakini
natafuta nn hapa na wewe ni nan?" "Upo
hospitalini usijari", yule mdada alijibu. "$asa nimefikaje hapa?"
Uliletwa jana usiku. Ndipo nikaanza kukumbuka matukio yote ya jana jinsi ilivyo
kuwa.
Nikaanza
kudondosha chuzi bila kujijua. Tulia usilie nes yule alinisihi, nilijilaum sana
kwa mambo niliyo yafanya ila ndo ilikuwa imetokea sikuwa na jinsi tena.
Baba
yuko wapi na amepata taarifa hizi? Niliuliza, akasita kidogo alionekana ni mtu
asiyetaka kunipajibu lolote. tafadhari niambie nesi, naomba mungu baba yangu asiwe amesikia habari hizi maana baba yangu ana presha nitampoteza baba yangu.
"Babayako
alifika jana ulivyokuwa umezidiwa alipewa taarifa na jeshi la polisi, akafika
kukuona lakini...."
Alisita
kidogo. Lakini nini?
Baada
ya kufika hapa presha ilipanda akadondoka hadi sasa kalazwa kwenye chumba cha
wagonjwa maututi.
Niliumia
sana nkajilaum sana maana nilibakiwa na baba pekee baada ya mama yangu kufariki
kwa ajari ya gari tangu nikiwa mdogo na nkalelewa na baba pekee na nilikuwa
mtoto wa pekee kwa babayangu alinipenda sana. Mara
nes akaondoka baada ya kuitwa na mgonjwa mwingine sikuwa na mtu wa kumuliza
maswali tena.
Mnamo
muda wa saa tisa alasiri nikapokea taarifa ya kifo cha baba yangu. Niliumia
sana maana ndo guzo yangu pekee iliyokuwa imebaki.
Nisamehe
baba yangu, najua haya yote nimeyasababisa mimi.. kwanini niliyafanya haya!
Nimlaum nan mimi, uzuri wangu? Wazazi wangu walionizaa mzuri au baba yangu
aliye nidekeza na kuniruhusu kufanya kila kitu?
Asubuhi
nilichukuliwa hosipitalini kwenda kuaga mwili wa baba yangu mpenzi. Niliumia
sana, nitaificha wapi sura yangu? Maana kila mtu alikuwa amepata taarifa yangu.
Wengine
walinikebehi nikiwa nawasikia huyu ndiye aliye gonganisha wanaume. Wengine
walisema aliye sababisha kifo cha baba yake. Wengine wakanifuata na kunambia
nyamaza unalia nini sasa.
Kila
mtu alinichukia hata ndugu zangu walinichukia, nilifedheheka sana. Hapo ndipo
maisha yangu yalipo anzia kupoteza mwelekeo.....
USIKOSE
SEHEMUINAYOFUATA
Kwa ushauri, maoni au mapendekezo
wasiliana na mtunzi SIMU NO 0655425315
EMAIL: sangageophrey@gmail.com
No comments