Header Ads

Breaking News

LIONEL MESSI NA BABA YAKE KUKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIEZI 21 JERA AU FAIN YA SH. MILION 637.8


Mchezaji  wa timu ya taifa ya Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi anaweza akakutana na adhabu ya kifungo cha miezi 21 jela yeye pamoja na baba yake mzazi Jorge Messi kwa kosa la ukwepaji kodi Hispania katika kipindi kati ya mwaka 2007 hadi 2009


 Lionel Messi na baba yake wanatajwa watahukumiwa kifungo kwa kosa la  kukwepa kodi. Hivyo kwa kosa la Lionel Messi kudaiwa kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 jela anaweza kukikwepa kwa kulipa faini ya dola 285,000 ambazo ni zaidi ya Tsh Milioni 637.8, Sheria ya Hispania mtu akihukumiwa kifungo cha chini ya miaka miwili ana nafasi ya kuomba adhabu yake ibadilike kutoka kifungo kuwa faini, kama tu kosa lake likiwa sio la jinai.


No comments