Header Ads

Breaking News

ONGEZA NGUVU ZA KIUME NA UMLIDHISHE MPENZI WAKO KWA KUFANYA HAYA........

ANZA SASA KUTUMIA VYAKULA HIVI NA UEPUKANE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA KUTUMIA GHALAMA NYINGI KWA WAGANGA.

Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

1: PILIPILI
Matumizi
hakikisha unaweka pilipili kwenye chakula unavyopika ichemke pamoja na chakula, weka kwa kiasi tu sio nyingi sana. Unaweza pia ukaweka kwenye chai hasa kwa pilipili mtama , ambayo hutwangwa na kuwekwa kwenye chai kirahisi.
Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

2:  PALACHICHI
Tunda hili nalo limelipotiwa kuwa linauwezo mkubwa wa kuongeza nguvu za kiume kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuzalisha vitamini E.
Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

3: TANGAWIZI
Hipia inasaidia pia kuongeza nguvu za kiume. Tafuna dakika chache kabla ya kukutana au kwenda kufanya tendo la ndoa.

Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
4: MBEGU ZA MATUNDA
Mchangayiko wa mbegumbalimbali za matunda, mfanoTikiti na Maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu awe ni mwenye afya njema na kuongeza ufanisi katika tendo.
 
Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
5: KITUNGUU SWAUMU
Hiki pia husaidia kuongeza nguvu za kiume unaweza kutwanga na kuweka kwenye maji na kuyanywa maji, au kutafuna taratibu.

Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
6: KARANGA MBICHI
hizi pia huongeza nguvu za kiume. tafuna mara kwa mara na maranyingi
Image result for vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
7:MIHOGO MIBICHI

No comments