Header Ads

Breaking News

Breaking News: Ajari ya gari Manyoni Singida

Habari zirizotokea  hivi punde zinasema kuwa  ajali imetokea  Manyoni mkoani Singida. inayohusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hili anasema kuwa Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni. endelea kutembelea blog hii upate taarifa zaidi.


No comments