Header Ads

Breaking News

OMMY DIMPOZ AMJIBU NAY WA MITEGO

KUTOKANA NA ILE NYIMBO MPYA YA NAY WA MITEGO ILIYOFUNGIWA,

AliyomponDa Ommy dimpoz na kusema omidimpoz jogoo hawiki, Ijulikanayo kwa jina la SHIKA ADABU YAKO. Ommy KAIBUKA NA KUJIBU MAPIGO hayo kwenye ukurasa wake wa instagram na kumfungukia Nay wa mitego.

kwanza alianza na kuweka video aliyomtambulisha mpenziwake.

pili akafunguka ya moyoni

Alianza kwa kuposti video aliyokua akipigana mabusu na mchuchu




















BAADA ya hapo akafunguka maneno haya 


 MANENO HAYO YANASOMEKA HIVI

Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi 😂Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊





No comments