WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA HUU 2015
BOFYA HAPA KUANGALIA
Baada ya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwishoni mwa mwaka jana kusubii selection sasa s
OWM-TAMISEMI Imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya Wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744
wakiwemo wasichana11,450 na wavulana18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na
masomo ya Sayansi na Hisabati; nawanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wa vulana13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa
kusoma masomo ya Sanaa na Biashara.Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato
cha Tano mwaka 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai,2015 na hakutakuwa
na fursa ya mabadiliko yoyote ya shule.
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti
katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa
zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa
kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2015 inapatika hapa. BOFYA HAPA
No comments